SEO : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
remove non-relevant link
Mstari 3:
SEO inawexa kulenga tovuti za kutafuta za aina mbalimbali kama vile utafutaji wa [[picha]], utafutaji wa [[video]], [[Jarida|majarida]] ya kitaaluma, <ref name="aseo">{{cite web|url=https://www.sciplore.org/publications/2010-ASEO--preprint.pdf|title=Academic Search Engine Optimization (ASEO): Optimizing Scholarly Literature for Google Scholar and Co.|author=Beel, Jöran and Gipp, Bela and Wilde, Erik|first=|date=|year=2010|website=|publisher=Journal of Scholarly Publishing|pages=176–190|archive-url=|archive-date=|dead-url=|accessdate=April 18, 2010}}</ref> utafutaji wa habari na utafutaji wa kisekta.
 
Uboreshaji wa tovuti unaweza kujumuisha kuhariri habari zilizomo kwenye tovuti hiyo, kuboresha [[HTML]] na mbinu nyingine nyingi.<ref>[https://www.primal.co.th/seo/seo-hacks/ "SEO Hacks" June 14, 2019.]</ref> Baadhi ya mbinu zinakubalika na tovuti za kutafuta ile mbinu nyingine huonekana kuwa ni za ulaghai.<ref>[https://www.webopedia.com/TERM/B/Black_Hat_SEO.html "What is Blackhat SEO?" June 14, 2019.]</ref>
 
Kufikia [[Mei]] [[2015]], utafutaji kwa kutumia [[simu za mkononi]] ulipiku ule wa kutumia [[kompyuta]].<ref>[https://adwords.blogspot.com/2015/05/building-for-next-moment.html "Inside AdWords: Building for the next moment" ''Google Inside Adwords'' May 15, 2015.]</ref>