Uundaji bidhaa pepe za tarakilishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Uundaji bidhaa pepe za tarakilishi''' ni shughuli ya kutengeneza na kuvumbua [[programu]] za [[kompyuta]]. Inaweza jumuishakujumuisha [[utafiti]], maendeleo mapya, uzinduaji, utumiaji-marudio, uvumbuzi mpya, matengenezo, au shughuli nyingine zozote zinazosababisha kuwepo kwa bidhaa pepe. <ref>{{cite web|author=DRM Associates|title=New Product Development Glossary |url=http://www.npd-solutions.com/glossary.html |date=2002|accessdate=2006-10-29}}</ref> Hasa awamu ya kwanza ya programu ya maendeleo katika mchakato huweza kuhusisha idara nyingi, ikiwa ni pamoja na [[masoko, uhandisi, utafiti na maendeleo na usimamizi wa]] jumla. <ref name="Mor01"> Joseph M. Morris (2001). ''Software Industry Accounting.'' p.1.10 </ref>
 
[[Jina]] hili,hilo uundaji wa bidhaa pepe za tarakilishi, lawezalinaweza pia kurejelea [[kuprogramu kompyuta]], mchakato wa kuandika na kutunza vipengee vya ndani vya [[Programu ya kompyuta|programu za kompyuta]].
 
== Muhtasari ==
Mstari 21:
Mchakato wa kuunda bidhaa pepe ni muundo ulioekwa katika utayarishaji wa bidhaa pepe halisi ya kompyuta. Visawe ni [[mzunguko]] wa [[maisha ya programu]] na '' mchakato wa programu.'' Kuna [[mifano]] kadhaa kwa hizi taratibu, kila ukielezea njia mbalimbali za [[kazi au shughuli]] ambazo hufanyika wakati wa mchakato huu.
 
== SwalaSuala la uundaji wa bidhaa pepe ==
=== Elimu ya soko ===
Vyanzo vya mawazo kuhusu bidhaa pepe ni nyingi. <ref name="Mor01"/> Mawazo haya yanaweza kuja kutoka [[utafiti wa soko]] ikiwa ni pamoja na [[demografia]] ya wateja wapya, wateja waliopo, matarajio ya mauzo ya bidhaa zilizokataliwa,washikiriki uundaji wengine wa ndani, au ubunifu chama cha nje. Mawazo kwa bidhaa pepe za kompyuta kwa kawaida hutathminiwa na [[wenye ujuzi wa masoko]] kwa uwezekano wake kiuchumi, kwa mwingiliano wake na njia za usambazaji, kwa uwezekano wa kuathiri bidhaa zilizopo, vitu vinavyotarajiwa, na kwa kufaa malengo ya kampuni kwenye soko. Katika tathmini ya awamu ya masoko,dhana ya gharama na muda hutathminiwa. Uamuzi hufikiwa mapema katika awamu ya kwanza kama, kwa kuzingatia maelezo zaidi yaliyotokana na maendeleo ya masoko na wafanyakazi, mradi lazima ufuatiliwe zaidi. <ref name="Mor01"/>
Mstari 37:
 
Mwisho wa 1990 uliibua viwango vya W3C <ref>Viwango vya RDF [http://www.w3.org/RDF/ ] na mapendekezo juu ya OWL [http://www.w3.org/2004/OWL/ ]</ref> ambavyo viliwezesha ontolojia kuungaanisha miundo 4 za utendaji katika 1 wa maarifa: uwakilishi wa maarifa (katika RDF (S) na owl),kizazi cha maarifa kupitia mitazamo, mtindo wa dhana kupitia ontolojia na muundo wa kimwili kupitia sehemu tatu.
Miuundo ya kisasa inaruhusu kutoa programu moja kwa moja kutoka mitambo ya maarifa(ontolojia) <ref>[14] ^ Tazama programu ya tovuti ya semantiki ya fedha [http://www.fadyart.com/applications.html ]</ref>
Mbinu hii inapata uhalali wake katika matumizi ya teknolojia ya semantiki badala ya www data kwa uzalishaji data iliyohakikishwa.
Aina ya biashara ya mbinu ya uundaji inapatikana katika [http://www.fadyart.com/businesscase.html tovuti ya ontolojia ya fedha.]
 
== Angalia Piapia ==
* [[Muungano kati yawa kampuni za bidhaa pepe]]
* [[Programu za matumizi]]
* [[Muundo bidhaa pepe unaozingatioaunaozingatia vipengele]]
* [[Somo la digridigrii katika habari na teknolojia]]
* [[MwuundajiUundaji wa programu za kompyuta]]
* [[Mjuzi-handisi wa bidhaa pepe]]
* [[Uundaji kidesturi wa bidhaa pepe]]
* [[Mfumo wa kuongezeka]]
* [[Mtajo wa majukumu]]
* [[Mikakati ya kuuza bidhaa pepe]]
* [[Uundaji wa bidhaa pepe bainakati ya baramabara]]
* [[Utafiti unaozingatia uhandisi wa bidhaa pepe]]
* [[Mfumo unaozingatia mbinu ya utumishi]]
* [[Mwongozo wa bidhaa pepe]]
* [[Kampuni ya bidhaa pepe]]
* [[SanaUpimaji yawa uundaji bidhaa pepe]]
* [[Mchakato wa utengenezaji wa programu]]
* [[Muundaji bidhaa pepe]]
* [[JuhudiUsambazaji za kupima uundajiwa bidhaa pepe]]
* [[MchakatoMhandisi wa utengenezajibidhaa wa Programupepe]]
* [[:Category:Software distribution|Usambazaji bidhaa pepe]]
* [[Mhandisi bidhaa pepe]]
* [[CMM]]
* [[Lugha ya programu]]
* [[Paradigma ya programu]]
 
== MarejeoTanbihi ==
{{Marejeo}}
 
== Marejeleo zaidi Marejeo==
{{Commons category|Software development}}
 
* Jim McCarthy (1995). ''Mienendo ya Programu ya Maendeleo.''
* Dan Conde (2002). ''Software Product Management:Managing of Software Development from Idea to Product to Marketing to Sales .''
Line 83 ⟶ 76:
* Robert K. Wysocki (2006). ''Ufanisi katika Usimamizi wa Uundaji bidhaa pepe.''
 
==Tanbihi==
{{Commons category|Software development}}
[[Jamii:Kompyuta]]
[[Jamii:Uundaji bidhaaBidhaa pepe]]
[[Jamii:Elimu ya soko]]
[[Jamii:Usimamizi wa miradi ya Programu]]
[[Jamii:Uhandisi wa programu]]
[[Jamii:Usimamizi wa Miradimiradi]]
[[Jamii:KaziUsimamizi zawa Kompyutamiradi ya programu]]
[[Jamii:Uundaji wa Bidhaa]]