Uundaji bidhaa pepe za tarakilishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Uundaji bidhaa pepe za tarakilishi''' (kwa Kiingereza: ''software engineering'') ni shughuli[[kazi]] ya kutengeneza na kuvumbua [[programu]] za [[kompyuta]]. Inaweza kujumuisha [[utafiti]], maendeleo mapya, uzinduaji, utumiaji-marudio, uvumbuzi mpya, matengenezo, au shughuli nyingine zozote zinazosababisha kuwepo kwa bidhaa pepe. <ref>{{cite web|author=DRM Associates|title=New Product Development Glossary |url=http://www.npd-solutions.com/glossary.html |date=2002|accessdate=2006-10-29}}</ref> Hasa awamu ya kwanza ya programu ya maendeleo katika mchakato huweza kuhusisha idara nyingi, ikiwa ni pamoja na [[masoko, uhandisi, utafiti na maendeleo na usimamizi wa]] jumla. <ref name="Mor01"> Joseph M. Morris (2001). ''Software Industry Accounting.'' p.1.10 </ref>
 
[[Jina]] hilo linaweza pia kurejelea [[kuprogramu kompyuta]], mchakato wa kuandika na kutunza vipengee vya ndani vya [[Programu ya kompyuta|programu za kompyuta]].
Mstari 10:
* Kuchunguza tatizo
* Kuwa na mpango au muundo wa kuvumbua bidhaa hii
* Utekelezaji (kuandika vipengee vya) wa programu
* Majaribio ya programu
* Kuwasilisha kwa mteja
* Ukarabati na kurekebisha
 
Hatua hizi mara nyingi hujulikana kama maisha halisi ya uundaji wa bidhaa pepe, au 'SDLC', kwa kimombo. Njia mbalimbali zinaweza kutekeleza hatua hizi kuzingatia maagizo mbalimbali, au kutumia muda mfupi au mrefu kwa hatua mbalimbali. Kina cha uhondo wa nyaraka zizalishwajo katika kila hatua ya kuunda programu inaweza pia kutofautiana. Hatua hizi huweza pia kufanyika katika kugeuka (mkabala kufuliliza ka maji), au zinaweza kurudiwa kwa viwango tofauti ( mkabala "uliokithiri" zaidi ). Mkabala uliokithiri zaidi kawaida huhusisha kutumia muda kidogo juu ya mipango na uandishi nyaraka, na hutumia muda zaidi katika kuunda programu yenyewe halisi. Mkabala huu "uliokithiri" pia hukuza uendelezaji wa kupima maendeleo ya mradi wenyewe, vilevile kuwa bidhaa isiyo na hitilafu hata kamwe.
Mkabala rasmi au "wa kufululiza" hujaribu kuchunguza hitilafu zozote zinazoweza kutokea kisha kuanzisha mpango wa kina kabla ya uundaji wa programu yenyewe, na kuepuka mabadiliko ya muundo wa bidhaa pepe na kurudia kuandika vipengele vya programu hiyo.
 
Kuna faida na hasara kubwa kwa mbinu mbalimbali na njia bora ya kutatua tatizo kutumia bidhaa pepe mara nyingi itazingatia aina ya shida iliyopo. Kama tatizo linaeleweka vizuri na ufumbuzi unaweza kufanisiwa kwa haraka, mkabala wa kufululiza huweza kuwa bora. Kama, kwa upande mwingine, tatizo ni la kipekee (angalau kwa timu ya kuunda) na muundo wa programu hauwezi fumbuliwa kwa urahisi, basi mkabala "uliokithiri" zaidi huweza kuwa bora.
 
Kuna faida na hasara kubwa kwa mbinu mbalimbali na njia bora ya kutatua tatizo kutumia bidhaa pepe mara nyingi itazingatia aina ya shida iliyopo. Kama tatizo linaeleweka vizuri na ufumbuzi unaweza kufanisiwa kwa haraka, mkabala wa kufululiza huweza kuwa bora. Kama, kwa upande mwingine, tatizo ni la kipekee (angalau kwa timu ya kuunda) na muundo wa programu hauwezi fumbuliwa kwa urahisi, basi mkabala "uliokithiri" zaidi
huweza kuwa bora.
Mchakato wa kuunda bidhaa pepe ni muundo ulioekwa katika utayarishaji wa bidhaa pepe halisi ya kompyuta. Visawe ni [[mzunguko]] wa [[maisha ya programu]] na '' mchakato wa programu.'' Kuna [[mifano]] kadhaa kwa hizi taratibu, kila ukielezea njia mbalimbali za [[kazi au shughuli]] ambazo hufanyika wakati wa mchakato huu.
 
Line 25 ⟶ 26:
Vyanzo vya mawazo kuhusu bidhaa pepe ni nyingi. <ref name="Mor01"/> Mawazo haya yanaweza kuja kutoka [[utafiti wa soko]] ikiwa ni pamoja na [[demografia]] ya wateja wapya, wateja waliopo, matarajio ya mauzo ya bidhaa zilizokataliwa,washikiriki uundaji wengine wa ndani, au ubunifu chama cha nje. Mawazo kwa bidhaa pepe za kompyuta kwa kawaida hutathminiwa na [[wenye ujuzi wa masoko]] kwa uwezekano wake kiuchumi, kwa mwingiliano wake na njia za usambazaji, kwa uwezekano wa kuathiri bidhaa zilizopo, vitu vinavyotarajiwa, na kwa kufaa malengo ya kampuni kwenye soko. Katika tathmini ya awamu ya masoko,dhana ya gharama na muda hutathminiwa. Uamuzi hufikiwa mapema katika awamu ya kwanza kama, kwa kuzingatia maelezo zaidi yaliyotokana na maendeleo ya masoko na wafanyakazi, mradi lazima ufuatiliwe zaidi. <ref name="Mor01"/>
 
Katika kitabu ''"Great Software Debates",'' [[Alan M. Davis]] anasema katika sura ya ''"Mahitaji",'' sura ndogo ''"Kipengele kasoro cha uundaji bidhaa pepe":''
''{{cquote|''Wanafunzi wa uhandisi hujifunza uhandisi na ni mara chache wao hujihusisha na taaluma za kibiashara au kifedha. Wanafunzi wa masoko kujifunza masoko na ni mara chache hujihusisha na taaluma za kifedha au uhandisi. Wengi wetu huwa wataalamu katika eneo moja tu. Kutilia mkazo zaidi, baadhi yetu hukutana na watalaam kiasi, hivyo kuna wachache sana tunaweza iga umarifu wao. Ilhali, mipango ya bidhaa pepe ni tegemeo kuu kwa mafanikio ya uundaji wake na huhitaji utaalam wa aina nyingi.<ref>Alan M. Davis. Great Software Debates (8 Oktoba 2004), pp:125-128 Wiley-IEEE Computer Society Press</ref>''}}
 
Kwa sababu uundaji programu unaweza kuhusisha kuacha au kwenda nje na mahitaji ya mteja, mradi huweza kupotoka kiasi kwa mahitaji yasiyo ya kiufundi [[kama]] vile [[rasilimali]], kushughulikia hitilafu, [[umiliki, bajeti]], kushughulikia visa, nakadhalika. Michakato hii huweza pia kusababisha jukumu la [[maendeleo ya biashara]] kufunika uundaji wa bidhaa pepe.
 
=== Mbinu za uundaji bidhaa pepe ===
[[Mbinu za uundaji bidhaa pepe]] ni [[taaluma]] inayotumika [[kuunda]], [[kupanga]], na [[kudhibiti]] mchakato wa kuvumbua [[mitambo ya habari]]. Mifumo mbalimbali kama hizo imeibuka na kukua kwa muda, kila mmoja ukiwa na uwezo wake mwenyewe na udhaifu pia. Mfumo mmoja wa uundaji bila shaka si mwena kwa matumizi ya miradi yote. Kila mojawapo ya mbinu zilizopo inafaa kwa aina maalumu ya miradi, kwa kuzingatia ufundi,shirika,mradi na maswala ya timu husika. <ref name="CMS08">[http://www.cms.hhs.gov/SystemLifecycleFramework/Downloads/SelectingDevelopmentApproach.pdf Kuchagua njia ya uundaji.] Revalidated: 27 Machi 2008. Rudishwa 27 Oktoba 2008.</ref>
 
== Mwelekeo wa kisasa katika sekta ==
Line 37 ⟶ 38:
 
Mwisho wa 1990 uliibua viwango vya W3C <ref>Viwango vya RDF [http://www.w3.org/RDF/ ] na mapendekezo juu ya OWL [http://www.w3.org/2004/OWL/ ]</ref> ambavyo viliwezesha ontolojia kuungaanisha miundo 4 za utendaji katika 1 wa maarifa: uwakilishi wa maarifa (katika RDF (S) na owl),kizazi cha maarifa kupitia mitazamo, mtindo wa dhana kupitia ontolojia na muundo wa kimwili kupitia sehemu tatu.
 
Miuundo ya kisasa inaruhusu kutoa programu moja kwa moja kutoka mitambo ya maarifa(ontolojia) <ref> Tazama programu ya tovuti ya semantiki ya fedha [http://www.fadyart.com/applications.html ]</ref>
 
Mbinu hii inapata uhalali wake katika matumizi ya teknolojia ya semantiki badala ya www data kwa uzalishaji data iliyohakikishwa.
Aina ya biashara ya mbinu ya uundaji inapatikana katika [http://www.fadyart.com/businesscase.html tovuti ya ontolojia ya fedha.]
 
== Angalia pia ==