Darfur Magharibi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
[[Picha:Gharb Darfur Sudan map with districts.svg|right|thumb|260px|Ramani ya Magharibi Darfur]]
'''Darfur Magharibi''' (inayotafsiriwa kuwa: Gharb Darfor) ni mojawapo ya majimbo 26 yanayojumuisha Sudan, na moja ya tatu yanayojumuisha kanda | inayotafsiriwa kuwa: Gharb Darfor) ni mojawapo ya [[majimbo]] 26 yanayojumuisha Sudan, na moja ya tatu yanayojumuisha kanda ya Darfur. Ina ukubwa wa eneo la [[Km²|km²]] 79,460 km ² na [[idadi]] ya wakaaziwakazi wake inakadiriwa kuwa 1,007,000 ([[2006]]).

Inapakana na [[Darfur Kaskazini]] na [[Darfur Kusini]] katika upande wa [[mashariki]].

Maeneo ya [[Chad]], [[Biltine]] na [[Ouaddaï]] yako katika upande wa magharibi, na katika upande wa kaskazini nikuna mkoa wa [[Bourkou-Ennedi-Tibesti.]].

[[Al-Junaynah]] ndio [[mji mkuu]] wa jimbo hili.

Darfur Magharibi imekuwa eneo kuu la [[mgogoro wa Darfur]] unaoendelea.
 
{{mbegu-jio-Sudan}}
{{Majimbo ya Sudan}}
{{mbegu-jio-Sudan}}
[[Category:Majimbo ya Sudan]]
[[Category:Darfur]]