Shairi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimeongeza viungo
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
Mstari 1:
[[poem]]'''Shairi''' ni sehemuaina ya [[fasihi]]. Mashairi ni [[tungo]] zenye kutumia mapigo ya [[silabi]] kwa utaratibu maalumu wa [[Muziki|kimuziki]] kwa kutumia [[lugha ya mkato]], [[lugha ya picha]] na [[tamathali za semi]].
 
Mashairi ndiyo fasihi pekee [[duniani]] ambayo huingizwa katika [[fasihi andishi]] na [[fasihi simulizi]].
 
Mashairi huweza kuandikwa au kutungwa kulingana na jinsi yanavyoonekana. Hii ina maana kuwa, mashairi huweza kutofautishwa kwa [[idadi]] ya [[Mshororo|mishororo]], jinsi [[Neno|maneno]] yalivyopangwa, [[urari]] wa [[kina (fasihi)|vina]] na kadhalika. Mtu anayetunga shairi huitwa [[Malenga]]. Mtu anayekariri au kuimba shairi huitwa [[manju]]
 
Kuna [[mashairi]] yanayofuata taratibu za [[mapokeo|kimapokeo]], yaani yanazingatia taratibu za [[urari]] na vina, [[mizani (ushairi)|mizani]], idadi sawa ya mistari, vituo na [[ubeti|beti]]. Mashairi hayo huwa na mizani 14 au 16 katika kila mstari, yaani mizani 7 au 8 kwa kila kipande cha mstari.