Kiswaga Boniventura Destery : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Kiswaga Boniventula Destery''' ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha Mapinduzi]] ([[CCM]]). Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa jimbo la [[Magu]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[https://www.parliament.go.tz/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>
 
Kiswaga alipata [[elimu]] yake ya msingi katika [[Shule ya msingi|Shule ye msingi]] ya KitongosimaSalisima iliyoko katika Kijiji cha Lugeye, na baadaye elimu ya [[sekondari]] katika Shule ya MsingiSekondari ya Bulima. Baadaye alipata mafunzo ya Uongozi na Biashara katika Chuo cha Uongozi kilichopoko [[Kijitonyama]] ambapo alitunukiwa [[astashahada]] ya Uongozi na utawaka wa fedha.
 
Kabla ya kuwa mbunge Kiswaga alichaguliwa kuwa [[Diwani]] kwa mara ya kwanza mwaka 2000, akiwa Diwani katika [[Kata]] ya [[Kitongosima]] iliyoko katika Tarafa ya [[Kahangara]] ndani ya [[Wilaya ya Magu]], [[mkoa wa Mwanza]].
Mstari 7:
Alihudumu kama Diwani kwa miaka 15, na mwaka 2005 alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauari ya Wilaya ya Magu na kuandika historia ya kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri mwenye [[umri]] mdogo kuliko wote tangu Wilaya ya Magu ianzishwe.
 
Halafu alijitosa katika king'anyanyiro cha ubunge na kumwaga wasomi wakiwemo wahandisi na madaktari ambao walichuana naye. Na kuandika Historia ya kuwa mbunge wa nane wa Jimbo la Magu tangu lilipoanzishwa mwaka 1965.
 
==Marejeo==
<references/>