Tofauti kati ya marekesbisho "Mwamba (jiolojia)"

1 byte removed ,  miezi 2 iliyopita
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
== Aina za miamba ==
Mwamba hutokea kwa namna tatu:
* [[mwamba wa mgando]] (mwamba wa kivolkeno, "ingneousigneous rock") unajitokeza pala ambako [[magma]] au [[lava]] inaganda, kwa mfano [[itale]] au .
* [[mwamba mashapo]] ''(sedimentary rock)'' hutokea pale ambako miamba inavunjika na kusagwa katika [[mmomonyoko]] na mashapo yanakandamizwa kwa njia ya kanieneo ya mashapo ya juu hadi mashapo kuwa mwamba mapya.
** aina ya pekee ni [[visukuku]] ambayvo ni mashapo yaliyosababishwa na wanyama au mimea itakayokuwa mwamba mashapo baadaye. Mfano: [[makaa mawe]].