Maria kupalizwa mbinguni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tizian 041.jpg|200px|thumb|right|[[Mchoro]] wa [[Tiziano]], katika [[Basilika]] la Santa Maria Gloriosa dei Frari, [[Venezia]], [[Italia]]. Labda mchoro huo wa mwaka [[1516]]-[[1518]] ni maarufu kuliko yote ya [[Kanisa la Magharibi]] kuhusu [[fumbo]] hilo.]]
[[File:Dormition de la Vierge.JPG|thumb|right|200px|[[Kulala kwa Bikira Maria]] katika [[ubao]] wa [[pembe za ndovu]]: kazi ya [[karne ya 10]] au mwanzo wa [[karne ya 11]] ([[Musée de Cluny]], [[Ufaransa]]).]]
{{Kanisa Katoliki}}
'''Maria kupalizwa mbinguni''' ni [[sherehe]] ya [[Kanisa Katoliki]] inayoadhimishwa kila [[mwaka]] [[tarehe]] [[15 Agosti]]. Kadiri ya [[sheria za Kanisa]], kimataifa ni [[sikukuu ya amri]], ingawa katika nchi nyingine si hivyo, kutokana na [[serikali]] kutokubali tarehe hiyo kama [[siku ya pumziko]].