Deplowmatz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
|Wanachama wa zamani = Saigon<br>Dola Soul<br>Trip Dogg<br>Storm
}}
[[Picha:Social Statistics.pdf|thumb|Saigon, Dola Soul na mshirika wao. ]]
'''Tha De-Plow-Matz''' (mara nyingi hufupishwa kwa: '''DPT''') lilikuwa kundi la [[muziki wa hip hop]] lililotamba sana katika miaka ya tisini huko nchini [[Tanzania]]. Kundi linaundwa na Saigon (jina halisi Saleeh Mzee), Dolasoul (jina halisi Ahmed Dola), Trip Dogg (jina halisi Philip Mwinmanji) na Storm (jina halisi Amour Shamte).
Katika familia hii kulikuwa pia na msimamizi wao aliyejulikana kwa jina la Nkwessa. Awali nyimbo zao walikuwa wanaimba Kiingereza tu. Baadaye wakawa wanaimba Kiswahili huku wakitia maneno ya Kiingereza katika mistari yao.