Malkia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wikidata interwiki
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Ethiopia empress zauditu.jpg|thumb|200px|Malkia Zauditu wa Ethiopia.]]
[['''Malkia]]''' ni [[mtawala]] [[Mwanamke|wa kike]] juu ya nchi katika utaratibu wa [[ufalme]]. Kwa kawaida amerithi [[cheo]] chake kutoka kwa [[mzazi]] wake aliyekuwa [[mfalme]] au malkia pia.
 
Lakini kuna pia malkia waliochaguliwa au kuteuliwa kwa namna nyinginenyingin,e hasa kama mtawala aliyetangulia alikufa bila mrithi.
 
[[Malkia]] ni mtawala wa kike juu ya nchi katika utaratibu wa [[ufalme]]. Kwa kawaida amerithi cheo chake kutoka mzazi wake aliyekuwa [[mfalme]] au malkia pia.
 
Lakini kuna pia malkia waliochaguliwa au kuteuliwa kwa namna nyingine hasa kama mtawala aliyetangulia alikufa bila mrithi.
 
Mara nyingi malkia alipatikana kwa njia ya ndoa halafu alishika utawala kama mumewe mfalme mwenyewe alikufa au kugonjeka.
 
==Kukubaliwa au kutokubaliwa kwa mtawala wa kike==
Katika [[historia]] kuna tofauti kubwa kama nchi iliweza kukubali kutawaliwa na mwanamke. Nchi mbalimbali zilibadilisha [[sheria]] zao walipoona ya kwamba mfalme alikosa [[watoto]] [[mwanamume|wa kiume]] ilhali [[viongozi]] waliogopa matatizo ya [[uchaguzi]] wa mfalme kutoka [[familia]] nyingine.
 
Mfano wa tofauti hizihizo ni [[maungano ya kifalme]] ya [[Uingereza]] na [[Hannover (nchi)|Hannover]] kati ya [[1714]] na [[1837]]. [[Mtemi]] [[Georg Ludwig wa Hannover]] alirithi cheo cha mfalme wa [[Uingereza]] na watoto wa kiume wa familia waliendelea kuwa wakuu wa nchi zote mbili. Baada ya [[kifo]] cha mfalme [[William IV. wa Uingereza|William IV]], Uingereza ulimteua [[mpwa]] wake [[Victoria wa Uingereza|VictoriaViktoria]] kuwa malkia mpya. Lakini sheria za Hannover hazikukubali mwanamke kama mtawala, hivyo maungano ya kifalme kati ya nchi hizihizo mbili yalikwisha.
 
Katika [[jamii]] mbalimbali za [[Afrika]] mtawala wa kike alikubaliwa tu. Mifano mashuhuri wa malkia zawa kiafrikaKiafrika ni "Negiste Negest" [[Zauditu wa Uhabeshi]] (alitawala [[1916]]-[[1930]]) au [[Farao]] wa kike katika historia ya [[Misri]].
 
==Malkia ya heshima==
Kuna pia matumizi ya kiheshima ya [[neno]] malkia kwa kumtaja [[mke]] wa mfalme hata asiposhika [[madaraka]] ya kiutawala.
 
==Tazama pia:==
*[[Mfalme]]
 
 
{{mbegu-sheria}}
[[Category:Cheo]]
[[Category:Siasa|*]]