Msaada:Picha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 41.77.222.175 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
Tag: Rollback
Mstari 46:
====Katika makala nyingine====
Ukiona picha kwenye makala mengine ya sw:wikipedia au kwa mfano katika makala ya Kiingereza unayotafsiri unaweza kunakili kiungo chake.
 
::#Bofya "hariri"
::#Tafuta kiungo cha picha unayotaka; nakili kiungo chote (au jina la picha pekee pamoja na nyongeza kama vile ".jpg")
::#Mwaga katika makala yako ya sw:wikipedia
::#Sahihisha umbo la kiungo jinsi inavyohitajika (en:wikipedia hawatumii wakati wote umbo la "thumb" - hapahapinasomeka shartikatika uingize;miradi wikipediayote zaya lughawikimedia nyinginepamoja wanana majinawikipedia mengine kwa "picha" zisizotambuliwapia kwetu kwa mfano "Bild:" n.k.; sharti usahihishe na kubadilisha)
::#Jaribisha kama picha inaonekana kwa njia ya "onyesha hakikisho.."; kama haionekani: tazama chini!
 
====Katika makala za en:wikipedia====
Watumiaji wengi watachungulia pia wikipedia ya Kiingereza na kuona picha huko. Hapa kuna aina mbili za picha:
::#Picha kutoka Commons.wikimedia: hii ni kumbukumbu kubwa sana ya [[wikimedia]] na jina la faili hapa inasomeka katika miradi yote ya wikimedia pamoja na wikipedia pia kwetu.
::#Picha inayopatikana katika wikipedia ya Kiingereza tu. Picha hii haitaonesha mpaka umeichukua na kuingiza katika wikipedia yetu.
::##Kuna sababu kadhaa za picha kutokuwepo katika commons. Kwa mfano mtumiaji huko aliona ugumu kuzoea commons lakini amezoea kupakiza kwenye en:wikipedia. Kwetu sw:wikipedia kuna picha na ramani yenye maandishi yaliyoswahilishwa mara nyingi hazikupelekwa commons maana wengine hawaelewi. Sababu nyingine ni hakimiliki; nchi zenye sheria za Marekani na Uingereza zina utaratibu wa kutumia picha zisizokubalika katika nchi nyingine kwa hiyo picha hizi haziwekwi commons kwa matumizi kote duniani. (Hapa sw:wikipedia tunaweza kutumia picha zote kutoka en:wikipedia).