Westlands (Nairobi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+pict
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Image:Waiyaki Way Westlands.jpg|thumb|Waiyaki Way karibu na Kangemi, Westlands [[Nairobi]]]]
[[File:Early morning traffic at Westlands stage, Nairobi.jpg|thumb|Westlands]]
'''Westlands''' ni [[mtaa]] wa [[jiji]] la [[Nairobi]] ([[Kenya]]) ulioendelea kuwa [[kitovu]] cha kibiashara[[biashara]] kando laya [[Nairobi mjini]] penyewe. Westlands iko kando laya [[barabara kuu]] ya Waiyaki Way na kipilefti ya Westlands. Ni pia jina la moja kati ya [[tarafa]] nane za [[MkoaKaunti waya Nairobi]].
 
Hadi [[miaka ya 1980]] Westlands ilikuwa sehemu tulivu ya [[nyumba]] za [[watu]] na [[Duka|maduka]] machache ikahesabiwa kuwa sehemu ya [[Parklands (Nairobi)|Parklands]]. Katika [[nusu]] ya pili ya miaka ya 1980 [[Jengo|majengo]] makubwa ya maduka kama "The Mall" na baadaye "Sarit Center" yalijengwa yaliofuatwa na nyumba za [[ofisi]]. Wenye biashara na ofisi wamependa Westlands kwa sababu inafikiwa kirahisikwa urahisi kutoka pande za [[kaskazini]] na [[magharibi]] za Nairobi bila kuingia katika msongamano wa [[magari]] mjini penyewe; pia kwa sababu hali ya [[usalama barabarani]] ni afadhali.
 
== Tarafa ya Westlands ==
Westlands ni pia jina la tarafa inayounganisha maeneo penyeyenye nyumba nzuri kama vile Lavington au Highridge lakini pia mitaa ya vibanda kama Kangemi.
 
Pamoja na kitovu cha kibiasharabiashara karibu na kipilefti ya Westlands kuna divisheni zuifuatazozifuatazo:
*[[Parklands (Nairobi)|Parklands]]
*Kitisuru
Mstari 15:
*[[Kilimani]]
*[[Lavington (Nairobi)|Lavington]]
{{mbegu-jio-KE}}
 
[[Jamii:Mitaa ya Nairobi]]