Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12:
 
:::Sawa sawa. Nimeanza kuangalia vigezo za wikipedia kwa lugha zingine. Na nataka kutunga kigezo lakini itakuwa kazi mingi na itachukua muda mrefu. Baada ya kurudi chuo kikuu nimekuwa na kazi mingi, sana sana kwa maabara. Huku shuleni sisi hufanya mararibio (experiments) kwa hivyo lazima tuandike ripoti na kadhalika. Kwa hivyo mimi huandika articles hapa mara kwa mara hapo awali nilikuwa nachangia zaidi. Kigezo cha Kiswahili cha habari za nchi iko hapa [[Kigezo:Sanduku la habari za nchi]]. Ya kiingereza iko hapa [[:en:Template: Infobox country]]. Lugha ingine ambayo naweza elewa ni Kikorea kigezo iko hapa [[:ko:틀:나라 정보]]. Kwa maoni yangu tunafaa kuwa na kigezo ya ambayo imefikia hizo kiwango ndio wachangiaji wapya waweze kuandika. Na pia kigezo lazima isitokee na errors kama vile msanduku wa Kenya ulikuwa unakaa. Nitajaribu kupata wakati wa kuandika kigezo na nitakutumia ujumbe nikianzana nayo. --'''[[Mtumiaji:Nairobi123|Nairobi123]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Nairobi123|majadiliano]])''' 5:44, 23 Mei 2020 (UTC)
 
::::Kadri ya muda nilio nao naweza kusaidia. Labda useme ni habari gani unazopenda kuongeza katika kigezo hiki. Na unaona kasoro wapi. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:52, 23 Mei 2020 (UTC)