Content deleted Content added
kuongeza tips
Tag: 2017 source edit
dNo edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 15:
::::Kadri ya muda nilio nao naweza kusaidia. Labda useme ni habari gani unazopenda kuongeza katika kigezo hiki. Na unaona kasoro wapi. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:52, 23 Mei 2020 (UTC)
 
::::Nimekuwa nikifuata mjadala huu. Ili kuunda kigezo haraka, ni rahisi kunakili code kutoka chanzo cha kigezo unachotaka. Kile unachoona kikiwa na muundo unaokufaa. Kisha uhariri ukitumia lugha ya Kiswahili. Kama nilivyofanya na [[Kigezo:Infobox ya Kaunti ya Kenya|Infobox ya Kaunti za Kenya]].