Content deleted Content added
dNo edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Mstari 16:
 
::::Nimekuwa nikifuata mjadala huu. Ili kuunda kigezo haraka, ni rahisi kunakili code kutoka chanzo cha kigezo unachotaka. Kile unachoona kikiwa na muundo unaokufaa. Kisha uhariri ukitumia lugha ya Kiswahili. Kama nilivyofanya na [[Kigezo:Infobox Kaunti ya Kenya|Infobox ya Kaunti za Kenya]].
 
:::::Kimsingi ni sawa. Nimefanya hivyo mara nyingi. Lakini vigezo vingi vimekuwa tata, yaani kuna kigezo ndani ya kigezo, na ndani ya kigezo cha kwanza tena vigezo vingine. Hii ni sababu vigezo vikubwa kwenye enwiki hulindwa, ni wachache tu wenye kibali cha kuhariri, visiharibiwe. Hapa iko changamoto. Yote yanawezekana, lakini ni kazi ya hatua kwa hatua.... (na kama umeshachoka mwishowe unaingiza kigezo kinachotafsiri [[kilomita]] zote kuwa [[maili]], hali ambayo hatuhitaji na hatutaki) '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 15:18, 23 Mei 2020 (UTC)