Mpira wa miguu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 123:
==Mpira wa miguu nje ya kanuni za kawaida==
[[File:O Jogo Bonito (The Beautiful Game).webm|thumb|Video inaonyesha namna nyingi jinsi gani mpira unachezewa duniani.]]
[[File:La mejor Hinchada de Futbol Argentino.jpg|thumb|Katika mpira wa miguu, madhumuni ya msingi ya mashabiki ni kuhamasisha timu yao wakati wa mechi.]]
 
Hali halisi kuna namna nyingi kucheza soka hata pasipo na wachezaji 22 au uwanja kamili. Kila mahali dunaini watu hasa vijana hucheza barabarani au shambani kwa kila idadi ya wachezaji, ilhali fimbo au mawe mawili hudokeza goli. Pasipo na mpira kamili vijana hujitengenezea kifaa kwa karatasi au plastiki iliyoshikwa kwa kamba katika umbo la kufanana na tufe.
Anonymous user