Kupaa Bwana : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 8:
Ni kwamba imani hiyo inafundisha kuwa siku [[arubaini]] baada ya kufufuka, [[Yesu]] alipaa mbinguni mbele ya [[wanafunzi]] wake. Hataonekana tena rasmi mpaka arudi [[Kiyama|siku ya mwisho]]. “Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda juu mbinguni, atakuja jinsi iyo hiyo mlivyomwona akienda zake mbinguni” ([[Mdo]] 1:11). “Mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo aliko, ameketi mkono wa kuume wa Mungu” ([[Kol]] 3:1).
[[Wakristo]] wanahusika na kupaa kwake, kwa sababu yeye ni [[kichwa]]
Hivyo, [[utawala]] wa Yesu umeshaanza, nao utakamilika atakaporudi [[Hukumu ya mwisho|kuwahukumu]] wazima na wafu kwa kutenganisha moja kwa moja wema na wabaya. “Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke maadui wake wote chini ya miguu yake. Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti” ([[1Kor]] 15:25-26). Hapo katikati “watafanya vita na Mwanakondoo, na Mwanakondoo atawashinda, kwa maana Yeye ni Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme” ([[Ufu]] 17:14).
Utawala wa Yesu umeanza hasa katika [[Kanisa]] lake linalokusanya wale waliomuamini kuwa ni [[Bwana]] [[Wokovu|wakaokolewa]]. [[Mungu]] “alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake” (Kol 1:13). Yesu alisema, “Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu… Mimi nimezaliwa kwa ajili ya haya, na kwa ajili ya haya mimi nalikuja ulimwenguni, ili niishuhudie kweli. Kila aliye wa hiyo kweli hunisikia sauti yangu” (Yoh 18:36,37). “Ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza” ([[Lk]] 17:20). “Ufalme wa mbinguni umefanana na chachu aliyoitwaa mwanamke, akaisitiri ndani ya pishi tatu za unga, hata ukachachwa wote pia” ([[Math]] 13:33). Baada ya kufufuka, aliwajibu Mitume waliomuuliza kuhusu wakati wa kurudisha ufalme: “Si kazi yenu kujua nyakati wala majira, Baba aliyoyaweka katika mamlaka yake mwenyewe. Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi” (Mdo 1:7-8).
== Asili na uenezi wa sherehe ==
[[Adhimisho]] hilo katika [[liturujia]] ni la zamani sana. Ingawa hakuna uthibitisho wa [[Maandishi|kimaandishi]] kabla ya mwanzo wa [[karne ya 5]], [[Agostino wa Hippo]] alisema linatokana na [[Mababu wa Kanisa]] wa kwanza, na kwamba linafanyika katika [[Kanisa]] lote tangu [[muda]] mrefu.
Kweli linatajwa mara nyingi katika maandishi ya [[Yohane Krisostomo]], [[Gregori wa Nisa]], katika [[Katiba za Mitume]] na mengineyo ya [[Makanisa ya Mashariki]] na [[Kanisa la magharibi]].
Mstari 21:
[[Sherehe]] hiyo inaunganisha [[madhehebu]] mengi sana katika kumshangilia [[Yesu]] kufanywa [[Bwana]] wa wote na vyote.
Kwa kawaida [[sikukuu]] hiyo ilikuwa inafanyika siku [[arubaini]] baada ya [[Pasaka ya Kikristo|Jumapili ya Pasaka]] kufuatana na [[hesabu]] ya [[Matendo ya Mitume]] 1:3,
==Viungo vya nje==
|