Kupaa Bwana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 22:
 
Kwa kawaida [[sikukuu]] hiyo ilikuwa inafanyika siku [[arubaini]] baada ya [[Pasaka ya Kikristo|Jumapili ya Pasaka]] kufuatana na [[hesabu]] ya [[Matendo ya Mitume]] 1:3, lakini siku hizi mara nyingi inasogezwa kutoka [[Alhamisi]] hadi [[Jumapili]] inayofuata ili kuwawezesha waamini wote kushiriki pale ambapo siku yenyewe ni ya [[kazi]], si [[sikukuu ya taifa]].
 
Sherehe hiyo iligusa [[wasanii]] wengi kutoa [[michoro]], [[nyimbo]]<ref>The [[Church cantata#Ascension|feast has been associated]] with specific hymns and other church music. The oldest [[hymn]] in German related to the feast is the [[Leise]] "[[Christ fuhr gen Himmel]]", first published in 1480. [[Johann Sebastian Bach]] composed several [[Bach cantata|cantata]]s and the ''[[Ascension Oratorio]]'' to be performed in church services on the feast day. He first performed ''[[Wer da gläubet und getauft wird, BWV 37]]'', on 18 May 1724, ''[[Auf Christi Himmelfahrt allein, BWV 128]]'', on 10 May 1725, ''[[Gott fähret auf mit Jauchzen, BWV 43]]'', on 30 May 1726 and the oratorio, ''[[Lobet Gott in seinen Reichen, BWV 11]]'', on 19 May 1735.</ref> n.k.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==