Jembe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+pict
Mstari 1:
[[File:Sachos_e_picarañas.jpg|thumb|right|Aina mbalimbali za majembe, ''Centro Etnográfico de Soutelo de Montes'', [[Pontevedra]], [[Hispania]].]]
[[File:A man travelling to the field.jpg|thumb|Jembe ([[Zambia]])]]
'''Jembe''' (kwa [[Kiingereza]] "hoe") ni kifaa chenye matumizi mengi katika [[maisha]] ya kila [[siku]]. Hasa kinatumika katika [[kilimo]], ili kuchimbia [[shimo|mashimo]] kwa nia ya kupanda [[mbegu]], lakini pia kupalilia [[shamba]].