Atlas (milima) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Atlas-Mountains-Labeled-2.jpg|thumb|right|380px|Safu za milima ya Atlas.]]
'''Milima ya Atlas''' (kwa [[Kiberber]]: '''Idurar n Watlas''', kwa {{lang-ar|جبال الأطلس}}, ''jabal al-atlas'') ni safu ya [[milima kunjamano]] katika [[Afrika]] ya [[kaskazini]]-[[magharibi]]. Ina [[urefu]] wa takriban [[kilomita]] 2,400 kuanzia [[Moroko]] kwa kuvukia [[Algeria]] hadi [[Tunisia]]. Milima ya Atlas hutenganisha [[pwani]] ya [[Atlantiki]] na [[Mediteranea]] kutoka [[jangwa]] la [[Sahara]].
 
Mwinuko wa juu ni [[Jebel Toubkal]] nchini Moroko inayofikia [[mita]] 4,167 [[juu ya UB]].
Mstari 12:
 
Kutokana na [[historia]] hii kuna hatari ya [[mtetemeko wa ardhi]] katika eneo la Atlas na miji kadhaa iliwahi kuharibiwa.
 
==Jina==
Jina la Atlas linatokana na mhusika [[Atlas (mitholojia)|Atlas]] kwenye [[mithlojia ya Ugiriki ya Kale]]. Katika hadithi za Wagiriki huyu alikuwa mungu mojawapo aliyepaswa kubeba anga kwenye mabega yake. Hivyo makazi yake yaliaminiwa kuwa katika milima hii mirefu iliyo karibu na anga.<ref>[https://archive.org/stream/encyclopaediabri02chisrich/encyclopaediabri02chisrich_djvu.txt Atlas Mountains], makala katika Enyclopedia Britannica 1911, kupitia archive.org</ref>
 
==Tazama pia==