Babyface : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
typo
Mstari 39:
==Maisha ya awali==
 
Edmonds alizaliwa mnamo tarehe 10 Aprili, 1959, mjini [[Indianapolis|Indianapolis, Indiana]],<ref name="musicguide">{{cite web|url=http://www.musicianguide.com/biographies/1608004625/Babyface.html|title=Babyface Biography|author=Simon Glickman and Kelly Winters|publisher=musicianguide|accessdate=May 10, 2011| archiveurl= https://web.archive.org/web/20110612235827/http://www.musicianguide.com/biographies/1608004625/Babyface.html| archivedate= June 12, 2011 | deadurl= no}}</ref><ref>{{cite web|url=http://www.allmusic.com/artist/babyface-p3602|title=Babyface Biography|author=Steve Huey|publisher=allmusic|accessdate=May 10, 2011}}</ref><ref>Sing to Me: My Story of Making Music, Finding Magic, and Searching for Who's Next - L.A. Reid In page 54, he said "Kenny was twenty-four years old (in 1983) - three years younger than me" 9 780062 274755</ref> na Marvin na Barbara Edmonds. Barbara alikuwa msimamizi wa uzalishaji katika kiwanda cha dawa. Edmonds, ambaye ni wa sita kati ya familia ya watoto sita wa kiume (ikiwa ni pamoja na wanachama wa baadaye wa kundi la [[After 7]] bwana Melvin na [[Kevon Edmonds]], ambaye baadaye akaja kuwa msanii wa kujitegemea mwenye mafanikio makubwa sana). Edmonds alihitimu [[North Central High School (Indianapolis, Indiana)|North Central High School]] huko mjini Indianapolis,. na akiwaAkiwa kijana mwenye aibu, alitunga wimbo wa kuelezea hisia zake.<ref name="AskMen">{{cite web|url=http://www.askmen.com/celebs/men/entertainment/29_babyface.html|title=Babyface Biography|author=|publisher=AskMen|accessdate=May 10, 2011}}</ref> Akiwa darasa la nane, baba mzazi wa Edmonds anafarikialifariki kwa kansa ya mapafu,. anamwachaAkamwacha mama yake akilea watoto peke yake.<ref name="AskMen"/> Katika umri huu, Edmonds anatazamiaankatazamia sasa kubaki na kazi ya muziki pekee.<ref name="musicguide"/>
 
==Kazi ya muziki==
Mstari 61:
Mwaka wa 1989, Edmonds alikuwa mmoja wa waanzilishi wa studio ya [[LaFace Records]] akiwa na Reid. Wasanii watatu wa kwanza katika lebo hii ni pamoja na [[TLC (band)|TLC]], [[Usher (entertainer)|Usher]], na [[Toni Braxton]] ambao walipata mafanikio makubwa sana. Albamu ya pili ya TLC [[CrazySexyCool]], alitunga na kutayarisha baadhi ya vibao vikali kutoka katika albamu hiyo. Baadaye ikaja kuwa moja kati ya albamu iliyouza sana kwa upande wa makundi ya muziki ya wasichana nchini Marekani. Chini ya uongozi wake, TLC waliweza kuuza nakala zaidi ya milioni 60 duniani kote, na kujumuisha jumla ya rekodi milioni 75 kwa kazi zote walizofanya nae. Albamu ya kwanza ya Toni Braxton, ''[[Toni Braxton (albamu)|Toni Braxton]]'' (1993) na ''[[Secrets (Toni Braxton album)|Secrets]]'' (1996), ambayo ametunga sehemu kubwa ya nyimbo, ilikwenda kuuza jumla ya nakala milioni kwa Marekani pekee.
 
Mwishoni mwa miaka ya 1990, Babyface helpedalisadia formkundwa thekwa popularkundi late-1990sla R&Bmuziki groupwa R&B—[[Az Yet]]. Halkadhali Edmonds alsoalisaidia helpedkumjenga tona moldkufanya andkazi workna withwasanii somewa ofmkewe hiswa then-wifezamani Bi. [[Tracey Edmonds]]' acts, suchkama asvile [[Jon B.|Jon B]] and producermtayarishaji [[Jon-John Robinson]].{{citation needed|date=September 2016}}
 
Edmonds amefanya kazi na wasanii wengi sana wenye mafanikio katika muziki wa R&B. “[[I'm Your Baby Tonight (song)|I’m Your Baby Tonight]]” (1990), aliutayarisha kwa ajili ya [[Whitney Houston]], kilikuwa kibao chake cha kwanza kushika Na. 1 kwenye Top 40 nchini Marekani. Vilevile alitunga na kutayarisha wimbo wa [[Boyz II Men]] wa mwaka wa 1992 "[[End of the Road]]" na 1994 "[[I'll Make Love to You]]", zote mbili ziliweza kudumu sana kwenye nafasi ya 1 kwenye chati za [[Billboard Hot 100|''Billboard'' Hot 100]]. Alishiriki kutunga, kutayarisha, na kusaidia kuitikia katika albamu ya [[Madonna (mwanamuziki)|Madonna]] ya mwaka 1994 ''[[Bedtime Stories (Madonna)|Bedtime Stories]]'', ambayo ina kibao kilichoshika majuma saba kwenye chati cha "[[Take a Bow (Madonna song)|Take a Bow]]". Vilevile ametunga na kutayarisha kibao kilichoshika nafasi ya kwanza "[[Exhale (Shoop Shoop)]]" kwa ajili ya [[Whitney Houston]] halkadhalika vibao vingine vyote vilivyokuja kuuza nakala milioni 10 kwa ajili ya kibwagizo cha filamu ya ''[[Waiting to Exhale (kibwagizo)|Waiting to Exhale]]'' mnamo mwaka wa 1995, ambayo ilitamba zaidi kwa vibao vya [[Whitney Houston|Houston]], [[Brandy Norwood|Brandy]] na [[Mary J. Blige]].
Mstari 69:
==Maisha binafsi==
 
Babyface alimwoa mke wake wa kwanza, Denise akiwa katika umri wake wa ujana kabisa. Mwaka wa 1990, Babyface anakutana na [[Tracey Edmonds]] wakati wa kusailiwa kwa ajili ya video ya muziki wake yeye mwenyewe maarufu wa "[[Whip Appeal]]". Walikuja kuoana mnamo tarehe 5 Septemba, 1992, na walijaaliwa watoto wawili, Brandon na Dylan. Mnamo tarehe 7 Januari, 2005, Tracey alifungua jalada la talaka katika mahakama kuu huko mjini Los Angeles, kielezea tofauti zisizosuluhusisha. Mwezi wa Oktoba 2005, Babyface na Tracey walitanga wanamalizawalitengana—wanamaliza ndoa yao iliyodumu kwa muda wa miaka kumi na tatu.
 
Mwaka wa 2007, Babyface alianza kujihusisha mahusiano na mnenguaji wake msaidizi Bi. Nicole "Nikki" Pantenburg (alikuwa mnenguaji msaidizi na rafiki wa karibu sana na [[Janet Jackson]]). Mwaka wa 2008, Babyface alijipatia mtoto wa kike.<ref>{{cite web|last=Wihlborg |first=Ulrica |url=http://www.people.com/people/article/0,,20229213,00.html |title=Kenneth 'Babyface' Edmonds Is a New Dad! – Babies, Kenneth \Babyface\ Edmonds |publisher=People.com |date=September 26, 2008 |accessdate=February 3, 2014}}</ref> Wawili hawa walikuja kuoana mnamo tarehe 17 Mei, 2014.