Atlas (milima) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Sahihisho
Mstari 1:
<sup>Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama [[Atlas (maana)]]</sup>
[[File:Atlas-Mountains-Labeled-2.jpg|thumb|right|380px|Safu za milima ya Atlas.]]
'''Milima ya Atlas''' (kwa [[Kiberber]]: '''Idurar n Watlas'''; kwa {{lang-ar|جبال الأطلس}}, ''jabaljibaal al-atlas'') ni [[Safu ya milima|safu ya]] [[milima kunjamano]] katika [[Afrika]] ya [[kaskazini]]-[[magharibi]]. Ina [[urefu]] wa takriban [[kilomita]] 2,400 kuanzia [[Moroko]] kwa kuvukia [[Algeria]] hadi [[Tunisia]]. Milima ya Atlas hutenganisha [[pwani]] ya [[Atlantiki]] na [[Mediteranea]] kutoka [[jangwa]] la [[Sahara]].
 
Mwinuko wa juu ni [[Jebel Toubkal]] nchini Moroko inayofikia [[mita]] 4,167 [[juu ya UB]].