Lusaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Zenman (majadiliano | michango)
coord fixed
+pict
Mstari 16:
|website =
}}
[[Picha:Kafue round about.jpg|thumb|left|Lusaka]]
 
[[Picha:ZM-Lusaka.png|right|thumb|225px|Mahali pa Lusaka katika nchi ya Zambia]]
'''Lusaka''' ni [[mji mkuu]] wa [[Zambia]]. Jiji la Lusaka liko Kusini ya Kati ya Zambia, na mahali pake ni 15°25' Kusini, 28°17' Mashariki [http://earth-info.nga.mil/gns/html/cntry_files.html]. Iko futi 4200 (au mita 1400) juu ya [[UB]]. Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa watu 1,391,000 (mwaka wa 2000).