Atlas (mitholojia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama [[Atlas (maana)]]</sup>
[[Picha:MAN Atlante fronte 1040572.JPG|250px|thumb|Atlas akibeba anga (sanamu ya Kiroma, karne ya pili BK)]]
'''Atlas''' (gir.kutoka [[Kigiriki]]: Ἄτλας ''atlas'') alikuwa [[miungu|mungu]] mmojawapo katika [[dini]] ya [[Ugiriki ya Kale]] aliyehesabiwa katika [[nasaba]] ya miungu ya [[Watitani]].
 
Katika masimulizi ya [[Wagiriki]] alikuwa [[mwana]] wa [[Iapetos]] na [[Asia (mitholojia)|Asia]], [[binti wa]] [[Okeanos]]. Baada ya [[vita]] ya Watitani dhidi ya miungu Waolimpo Atlas alipewa [[adhabu]] ya kusimama kwenye kona ya [[magharibi]] ya [[Dunia]] na kumbeba [[Urano]], yaani anga. Hivyo [[Zeu]] alitaka kuziakuzuia Urano (anga) kukutana tena na Gaia (Dunia, ardhi) na kuzaa.
 
Ilhali [[Mlango wa Gibraltar]] (kati ya [[Afrika Kaskazini]] na [[Ulaya]]) ilikuwaulikuwa mwisho wa Dunia iliyojulikana na Wagiriki wa Kale, [[mitholojia]] ya Atlas iliunganishwa na [[milima]] mirefu katika [[kaskazini]] yamwa [[Moroko]] ya leo. Milima hiihiyo hadi leo huitwa [[milima ya Atlas]].
 
Tangu kuunganishwa na Afrika ya Kaskazini-Magharibi, Atlas aliendelea katika masimulizi minginemengine ya [[Waroma wa Kale]] kuwa [[mfalme]] wa [[Mauretania]] aliyesifiwa kwa [[elimu]] na [[hekima]] yake.

[[Mwanajiografia]] [[Gerardus Mercator]] alikusanya [[ramani]] nyingi katika [[kitabu]] kimoja akaita mkusanyikomkusanyo huo kwa heshima ya mfalmehuyo yulemfalme "Atlas" na hapatangu hapo [[jina]] la [[atlasi]] linapatikana hadi leo kwa kitabu cha ramani.
 
==Marejeo==
Line 29 ⟶ 31:
{{refend}}
 
{{mbegu-dini}}
 
[[jamii:Miungu wa Kigiriki]]