Kurani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 23:
 
== Elementi, Sura, Mistari, Aya ==
Kuna sehemu 30 katika Qur'an, ambayo inafanya kuwa na [[sura (Kurani)|sura]] 114. Kila sura ina namba tofauti ya mistari.
 
Kwa mujibu wa mafunzo ya Kiislam, sura 86 kati ya hizi zimeshuka mjini [[Makka]], sura 24 kati ya hizi zimeshuka mjini [[Madina]].