Tofauti kati ya marekesbisho "Papa Paulo VI"

3 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
 
== Asili ==
Alizaliwa [[Concesio]], [[kijiji]] cha [[wilaya]] ya [[Brescia]], katika [[mkoa]] wa [[Lombardia]] ([[Italia Kaskazini]]), ambapo [[familia]] ya Montini ilikuwa na [[nyumba]] ya kufanyia [[likizo]].
 
[[Wazazi]] wake, [[wakili]] Giorgio Montini na Giuditta Alghisi, walifunga [[ndoa]] mwaka [[1895]] wakazaa [[watoto]] watatu: Ludovico, aliyepata kuwa [[mbunge]], Giovanni Battista mwenyewe, na Francesco, [[daktari]].