Tanganyika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 31:
Mwaka [[1922]] Shirikisho la Mataifa lilithibitisha hatua hiyo na kuamua ma[[sharti]] ya kukabidhi.
 
Waingereza walihitaji jina jipya kwa ajili ya koloni hili. Tangu mwaka 1919 ilipoeleweka kwamba koloni ya Kijerumani itabaki chini ya Uingereza idara ya koloni pale London (Colonial Office) ilijadili jina. Kati ya mapendekezo yalikuwepo: Smutsland (kwa heshima ya jenerali [[Jan Smuts]] wa [[Afrika Kusini]] aliyeogoza uvamizi wa eneo katika Vita Kuu), Eburnea na Azania ambayo hayakukubaliwa; New Maryland, Windsorland (kwa heshima ya familia ya kifalme) na Victoria yalipingwa na waziri aliyetaka kuona jina la kienyeji; hatimaye Tanganyika ilipendelewa mbele ya Kilimanjaro na Tabora.<ref>Iliffe, A modern History of Tanganyika, uk. 247</ref> na kuwa jina rasmi kuanzia Januari [[1920]]. Kwa chaguo la "Tanganyika Territory" Waingereza walitumia jina la [[ziwa]] kubwa upande wa mashariki ya eneo. <ref>[http://www.archive.org/stream/encyclopdiabri32newyrich#page/676/mode/2up/search/tanganyika Linganisha makala "Tanganyika Territory" katika Encyclopedia Britannica, 12th edition, vol 32, uk 676]</ref>
 
Katika [[Vita vikuu vya pili]], wananchi 100,000 hivi waliungana na [[jeshi]] la Uingereza<ref name="Heale">{{cite book|author1=Jay Heale|author2=Winnie Wong|title=Tanzania|url=https://books.google.com/books?id=9UhNJxHg14wC|year=2010|publisher=Marshall Cavendish|isbn=978-0-7614-3417-7}}</ref> wakiwa kati ya Waafrika 375,000.<ref name="MGT">[http://www.mgtrust.org/afr2.htm "African participants in the Second World War"]. mgtrust.org.</ref> Watanganyika walipiga vita katika vikosi vya [[King's African Rifles]] huko [[Somalia]], [[Uhabeshi]], [[Madagascar]] na [[Burma]].<ref name="MGT"/> Pia Tanganyika ilikuwa chanzo kikubwa cha [[chakula]]<ref name="Heale"/> Jambo hilo lilisababisha [[mfumuko wa bei]] usio wa kawaida.<ref>[http://www.content.eisa.org.za/old-page/tanzania-british-rule-between-wars-1916-1945 "Tanzania: British rule between the Wars (1916–1945)"]. ''eisa.org.za''.</ref>