Mitalojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
==Asili==
[[Asili]] ya sayansi ya [[upimaji]] ya kisasa ilipatikana wakati wa [[mapinduzi ya Kifaransa]]. Wakati ule wingi wa vizio vya [[urefu]] vilivyokuwa kawaida, mara nyingi kwa kutumio vizio vya kimwili<ref>Kama vile [[futi]], [[shibiri]], [[wanda]], ambavyo viko tofauti baina mtu na mtu, na vilisaninifishwa kieneo tu, kwa hiyo ilikuwa kawaida kukuta vizio tofauti kila mahali.</ref>, [[wataalamu]] walipendekeza kutumia kizio kilichorejelea chanzo cha kisasilikimazingira yaani sehemu ya [[mzingo]] wa [[Dunia]]. Hii iliunda mfumo wa vizio vilivyokadiriwa [[desimali|kidesimali]] mnamo mwaka [[1795]]. Mfumo huo ulianza kutumiwa pia na nchi nyingine na hatimaye kuleta [[Vipimo sanifu vya kimataifa|mfumo wa vipimo sanifu vya kimataifa]]<ref name=R12_11>{{cite web|title=Resolution 12 of the 11th CGPM (1960)|url=http://www.bipm.org/en/CGPM/db/11/12/|publisher=Bureau International des Poids et Mesures|accessdate=28 February 2017|url-status=live|archiveurl=https://web.archive.org/web/20130514081801/http://www.bipm.org/en/CGPM/db/11/12/|archivedate=14 May 2013}}</ref>.
 
==Matawi ya mitalojia==
Mstari 38:
|archivedate = 2012-10-23
}}</ref>
 
1. Ufafanuzi wa vizio vya upimaji. Huu unahusu hasa kurejelea vizio vya upimaji kwa vizio vya kifizikia, tofauti na vizio vya kimazingira kama awali.
1. Ufafanuzi wa vizio vya upimaji. Huu unahusu hasa kurejelea vizio vya upimaji kwa vizio vya kifizikia, tofauti na vizio vya kimazingira kama awali. Mfano mita ilifafanuliwa kiasili kama sehemu ya milioni moja ya umbali kutoka [[ncha ya kaskazini]] hadi ikweta. Baadaye imeonekana kwamba umbo la Dunia si tufe kamili, umbali kati ya ncha na ikweta ni tofauti kutegemeana na sehemu unapopimwa. Hivyo umbo la Dunia haufai tena kwa ufafanuzi wa kizio sahihi. Wataalamu walitafuta ufafanuzi wa kifizikia ambao hautegemei vizio vinavyoweza kubadilika. Mwaka 1983 Kongamano la 15 la Uzani na Vipimo (General Conference on Weights and Measures (CGPM)) uliamua kufafanua mita kulingana na [[kasi ya nuru]] ikiwa sawa na umbali unaopitiwa na nuru katika sehemu ya 1/299 792 458 ya sekunde moja<ref>[https://www.bipm.org/en/CGPM/db/17/1/ Definition of the metre], Resolution 1 of the 17th CGPM (1983)]</ref>.
 
2. Kuhakikisha na kutathmini matumizi ya vizio hivi katika tasnia na biashara