Becquerel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Becquerel"
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:57, 31 Mei 2020

Becquerel (alama Bq ) ni kizio cha upimaji wa unururifu, kimoja cha vipimo vya SI.

Becquerel imefafanuliwa kama kiwango cha unururifu kinachotokana kwa mbunguo wa kiini cha atomu kimoja kwa sekunde moja.

Kiwango hiki ni kidogo sana kwa vipimo vyote vinavyohusu afya ya kibinadamu na hivyo kwa kawaida vigawe vya Bq hutumiwa. Vigawe vya kawaida ni:

  • kBq (kilobecquerel, 103 Bq)
  • MBq (megabecquerel, 106 Bq, equivalent to 1 rutherford)
  • GBq (gigabecquerel, 109 Bq)
  • TBq (terabecquerel, 1012 Bq)
  • PBq (petabecquerel, 1015 Bq)
  • EBq (exabecquerel, 1018 Bq)
  • YBq (yottabecquerel, 1024 Bq)


Becquerel ilichukua nafasi ya vipimo visocho vya SI kama curie na rutherford.

Jina lilichaguliwa kwa heshima ya mwanafizikia Mfaransa Antoine Henri Becquerel aliyepokea tuzo la Nobel kwenye mwaka 1903 pamoja na a Pierre Curie na Marie Curie.