Felicien Kabuga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
Kabuga amemwoa Josephine Mukazitoni. Binti zao wawili wameolewa na wana wawili wa Habyarimana. <ref>[https://www.chronicles.rw/2019/04/10/us-goes-to-social-media-hunting-for-hardcore-genocide-fugitives/ US Goes To Social Media Hunting For Hardcore Genocide Fugitives] chronicles.rw, retrieved 12 August 2019</ref>
 
== KustakiwaKushtakiwa na ICTR ==
Mnamo 29 Agosti 1998, mwendesha mashtaka wa[[Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ya Rwanda]] Carla Del Ponte, alimshtaki Kabuga. Katika mashtaka yaliyorekebishwa tarehe 1 Oktoba 2004, mwendesha mashtaka Hassan Jallow alimshtaki Kabuga kuwa:
 
Mstari 17:
* alihusika katika Mauaji ya Kimbari
* alichochea moja kwa moja na hadharani kutekeleza mauaji ya kimbari
* alihusika katika jinai dhidi ya ubinadamu.
 
== Mkimbizi ==