Felicien Kabuga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 12:
 
== Kushtakiwa na ICTR ==
Mnamo 29 Agosti 1998, mwendesha mashtaka wa [[Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ya Rwanda]] (ICTR) [[Carla Del Ponte]], alimshtaki Kabuga. Katika mashtaka yaliyorekebishwa tarehe 1 Oktoba 2004, mwendesha mashtaka Hassan Jallow alimshtaki Kabuga kuwa:
 
* alifanya njama za kutekeleza mauaji ya kimbari