Interahamwe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Flag of the Rwandan Democratic Movement.svg|thumb|Bendera ya Interahamwe]]
'''Interahamwe''' ilikuwa kundi la wanamigambo lililoanzisha [[Mauaji ya kimbari ya Rwanda|mauaji ya kimbari]] nchini [[Rwanda]] mnamo 1994. Katika mauaji haya, takriban milioni moja ya raia, hasa [[Watutsi]] na pia [[Wahutu]] wasioshikamana nao, waliuawa<ref>{{cite web|last1=Reyntjens|first1=Filip|title=Rwanda's Untold Story. A reply to "38 scholars, scientists, researchers, journalists and historians"|url=http://africanarguments.org/2014/10/21/rwandas-untold-story-a-reply-to-38-scholars-scientists-researchers-journalists-and-historians-by-filip-reyntjens/|website=African Arguments|date=21 October 2014}}</ref><ref>{{cite book|last1=Des Forges|first1=Alison|authorlink=Alison Des Forges|title=Leave None to Tell the Story: Genocide in Rwanda – The Organization → The Militia|date=March 1999|publisher=[[Human Rights Watch]]|location=New York|isbn=1-56432-171-1|url=https://www.hrw.org/legacy/reports/1999/rwanda/Geno4-7-03.htm}}</ref>.
 
Interahamwe ilianzishwa mnamo 1990 kama tawi la vijana la National Republican Movement for Democracy and Development (MRND kwa kifupi chake cha Kifaransa).
Mstari 7:
 
== Mbinu ==
InterahamwemaraInterahamwe mara nyingi walitumia mapanga ( 'mupanga' kwa [[Kinyarwanda]]) kwa kutekeleza mauaji, lakini [[Silaha za moto|bunduki]], mabomu na zana mengine zilitumika.
 
==Marejeo==
<references/>
 
[[Jamii:Rwanda]]