Nyanda za Juu za Kusini Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Mstari 5:
Nyanda za juu zinajumuisha [[milima]], [[volkeno]] na [[tambarare za juu]], pamoja na [[Milima ya Mbeya]], [[Milima ya Poroto]], [[Milima ya Kipengere|Safu ya Kipengere]], [[Rungwe (mlima)|Mlima Rungwe]], Tambarare ya juu ya [[Kitulo]], [[Milima ya Umalila]], na Nyanda za Juu za Umatengo. Tambarare ya Juu ya Ufipa inaenea kaskazini magharibi, kati ya [[Tanganyika (ziwa)|Ziwa Tanganyika]] na [[Rukwa (ziwa)|Ziwa Rukwa]]. <ref>"Southern Rift montane forest-grassland mosaic". World Wildlife Fund ecoregion profile. Accessed 3 September 2019. </ref> [[tawi|Matawi]] mawili ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]] yanaungana katika Nyanda za Juu za Kusini. Kwa upande wa kaskazini mashariki, pale [[Makambako]] kuna pengo linalotenganisha Nyanda za Juu za Kusini kutoka [[Tao la Mashariki|Milima ya Tao la Mashariki]]. <ref>Ara Monadjem, Peter J. Taylor, Christiane Denys, Fenton P.D. Cotterill (2015). ''Rodents of Sub-Saharan Africa: A biogeographic and taxonomic synthesis.'' Walter de Gruyter GmbH & Co KG, 2015. pg. 900</ref>
[[Picha:Lake_Ngozi,_Tanzania_(2464101174).jpg|right|thumb|[[Ngozi (mlima)|Ziwa Ngozi]] katika [[Milima ya Poroto|Milima]] ya [[Milima ya Poroto|Poroto]].]]
[[Rungwe (mlima)|Mlima Rungwe]] ([[mita]] 2,960 juu ya [[UB]]), na [[mlima MtoveMtorwe]] (au: Mtove, m 2961) ndiyo vilele vya juu katika nyanda za juu. Vingine ni pamoja na [[mlima Chaluhangi|Chaluhangi]] (m 2933) na [[mlima Ishinga|Ishinga]] (m 2688) katika eneo la [[Kipengere]], [[Ngozi (mlima)|Ngozi]] (m 2621) katika Uporoto, na [[mlima Mbeya|Mbeya]] (m 2826), [[mlima Loleza|Loleza]] (m 2656) na [[mlima Pungulomo|Pungulomo]] (m 2273) katika Milima ya Mbeya. <ref>Watson, Graeme (1995). "Tanzania's Other Mountains". ''The Alpine Journal''. Accessed 2 September 2019. </ref>
 
Kutoka mitelemko ya kaskazini na [[mashariki]] ya Milima ya Mbeya [[maji]] hutiririka kwenye [[beseni]] la [[Rukwa (ziwa)|Ziwa Rukwa]]. [[Mto]] [[Ruaha Mkuu|Ruaha Kuu]] ambao ni [[tawimto]] la [[Rufiji (mto)|Rufiji]]<nowiki/>unapokea maji yake kutoka mitelemko za mashariki ya milima ya Mbeya na Kipengere.
Mstari 13:
[[Mto Ruhuhu]] unapokea maji ya sehemu ya kusini ya Safu ya Kipengere na Nyanda za Juu za Umatengo.
 
Mitelemko ya mashariki ya Umatengo hupeleka maji yao kwenda [[Ruvuma (mto)|Mto Ruvuma]].
 
== Tabianchi ==