Majadiliano ya mtumiaji:Kipala/makala 10000 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Orodha ya viumbehai
 
No edit summary
Mstari 1:
Kipala salaam. Maoni yangu ni kwamba orodha ya viumbehai haina vidahizo vya kutosha kutoka Afrika. Nafikiri kwamba tungeongeza vidahizo vingine na kuondoa vingine. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 19:45, 31 Mei 2020 (UTC)
 
Basi tuangalie namna ya nyongeza. Kimsingi nimeleta hapa tu orodha ya Meta jinsi ilivyo maana inasaidia kutambua mapengo. Pia nina "hobby" kidogo kusukuma swwiki juu zaidi katika takwimu za wikipedia. Ni kweli kwamba habari za Afrika ni chache. Mimi napendekeza tuongeze lemma kwa kuweka alama ya *kabla ya istilahi. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 15:14, 1 Juni 2020 (UTC)
Return to the user page of "Kipala/makala 10000".