Chuki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 197.250.224.9 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Hate zh.svg|upright=0.7|thumb|Chuki[[Neno]] ''chuki'' kwa [[Kichina]].]]
[[File:Duluth-lynching-postcard.jpg|thumb|upright=1.4|[[Mauaji ya Duluth]], [[15 Juni]] [[1920]].]]
'''Chuki''', kinyume cha [[pendo]], ni hali ya [[mtu]] au kikundi cha watu kutopenda [[kitu]] fulani.
 
Mfano watu wema wengi hawapendi [[uovu]], kwa hiyo wana chuki na uovu. Chuki hiyo ni nzuri, kwa kuwa inajenga [[jamii]].
 
MaraLakini mara nyingine chuki inalenga watu kwa misingi mbalimbali: ya binafsi, ya [[uchumi]], ya [[siasa]], ya [[jinsia]], ya [[dini]], ya [[asili]] n.k.
 
Inaweza ikatokana na [[kijicho]] na kuishia katika [[uuaji|mauaji]] hata ya halaiki, kama vile [[mauaji ya kimbari]]. Hapo inaonekana wazi kuwa mbaya, hata pengine ya [[Shetani|kishetani]].
 
==Marejeo==