George Floyd : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kifo cha [[George Floyd]]''' ni tukio linalohusisha kifo cha Mmarekani mweusi kutoka [[Minnesota]] ('''George Floyd''') kilichotokea [[tarehe]] [[25 Mei]] [[2020]] kufuatia Askari Polisi mweupe wa [[Minneapolis]] aliyejulikana kwa jina la [[Derek Chauvin]]<ref>https://www.washingtonpost.com/nation/2020/05/29/officer-charged-george-floyds-death-used-fatal-force-before-had-history-complaints/ Jarida la Washingpost, liliangaliwa 03 June 2020</ref> alipo mbana shingo George Floyd kwa kupiga [[goti]] juu ya upande wa nyuma wa [[shingo]] ya Floyd kwa muda wa takribani dakika 8 na sekunde 46 kadiri ya maelezo yaliyomo kwenye faili la malalamiko ya jinai lilofunguliwa dhidi ya Chauvin.<ref>https://edition.cnn.com/us/live-news/george-floyd-protest-updates-05-28-20/h_d6de512e51a8858a57f93ffa732c2695</ref><ref>https://www.mediaite.com/uncategorized/officials-say-derek-chauvin-had-knee-on-george-floyds-neck-for-almost-3-minutes-after-floyd-was-unresponsive/</ref>.
 
==Sababu ya kifo chake ==