Waetruski : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Museo archeologico di Firenze, statuia funeraria da Chianciano, V sec. a.c. 2.JPG|thumb|right|[[Sanamu]] ya [[baba]] na [[mama]] wa [[nyumba]] Waetruski ([[makumbusho]] ya [[Firenze]]).]]
[[Picha:Etruskischer Meister 001.jpg|thumb|250px|right|Mpiga [[muziki]] kutoka [[kaburi]] la Kietruski|300px]]
'''Waetruski''' walikuwa [[taifa]] maalumu katika [[Italia]] ya kale. Waliishi katika [[Italia ya Kati]] na kuanzisha [[mji]] wa [[Roma]].
 
Mwanzo wa [[ustaarabu]] wao ulikuwa mnamo [[mwaka]] [[800 KK]] ukaishia katika miaka ya mwisho ya [[Jamhuri ya Roma]].
 
Waliacha mabaki ya [[utamaduni]] wenye mifano bora ya [[uchoraji]] na [[ujenzi]]. Utamaduni wao ulipotea katika [[mazingira]] ya Kiroma.
Mstari 16:
Mwaka ule [[jeshi]] la Roma likateka na kuangamiza mji wa [[Veiji]] na kumaliza kipaumbele ya Waetruski katika Italia. Miji kadhaa ya Kietruski ilifanya mikataba ya Roma ikapewa [[uraia]] wa Kiroma hadi mwaka [[90 KK]]. Baadaye utamaduni wa Kietruski ulianza kupotea wakati watu walipoacha kutumia lugha yao.
 
==Marejeo==
<nowiki>*</nowiki> Philipp Ammon: <nowiki>''</nowiki>Ruma Rasna – Die etruskischen Wurzeln Roms<nowiki>''</nowiki>. <nowiki>http://www.academia.edu/28000848/Ruma_Rasna_Die_etruskischen_Wurzeln_Roms</nowiki>
 
{{mbegu-historia}}
[[Jamii:Historia ya Italia]]
[[Jamii:Roma ya Kale]]