Falsafa ya dini : Tofauti kati ya masahihisho

22 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[FilePicha:Saint Augustine by Philippe de Champaigne.jpg|thumb|[[Augustino wa Hippo]] alivyochorwa na [[Philippe de Champaigne]] (karne ya 17). Falsafa ya [[askofu]] huyo mwenye [[akili]] kubwa ajabu iliathiri sana [[Ukristo wa magharibi]] na [[ustaarabu]] wote uliotokana nao.]]
'''Falsafa ya dini''' ni [[falsafa]] inayofikiri na inayohamasisha [[watu]] kwa kuongozwa na [[imani]] ya [[dini]] fulani.
 
Inaweza kufanyika kwa kuzingatia [[ukweli]] unavyojulikana na [[akili]], lakini pia inaweza kufanyika kama chombo cha kushawishi watu waamini katika [[imani]] hiyo.
 
Kuna falsafa tofauti kwa kila dini kama vile: