Falsafa ya dini : Tofauti kati ya masahihisho

131 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[File:Religious syms.svg|thumb|[[Alama]] za dini mbalimbali.]]
'''Falsafa ya dini''' ni [[utafiti]] wa [[Falsafa|kifalsafa]] kuhusu mada na mawazo makuu ya [[dini]] mbalimbali.<ref name="SEP">{{Cite book |edition = Winter 2014 |title = Philosophy of Religion |url = http://plato.stanford.edu/archives/win2014/entries/philosophy-religion/ |date = 1 January 2014 |first = Charles |last = Taliaferro |editor-first = Edward N. |editor-last = Zalta}}</ref> na jinsi yanavyoathiri mwenendo wa watu binafsi na katika [[jamii]].
 
Majadiliano kuhusu mambo hayo yalianza zamani na kujitokeza katika [[maandishi]] ya kwanza ya [[wanafalsafa]] wa [[Ugiriki wa Kale]].