Mmisionari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 33 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q219477 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[File:IVE Missionaries in Papua New Guinea.jpg|thumb|right|upright=1.35|Wamisionari [[Wakatoliki]] huko [[Papua New Guinea]].]]
'''Mmisionari''' (au '''Mwanamisheni''') ni [[mtu]] wa [[dini]] fulani ambaye anafanya [[kazi]] ya kuieneza kwa wasio waumini wa dini hiyo. Kwa kawaida mhusika ni [[Ukristo|Mkristo]], lakini si lazima.
 
[[Jina]] linatokana na [[neno]] la [[Kilatini]] '''missio''' lenye maana ya '''utume''' (kutuma au kutumwa).<ref>[http://www.etymonline.com/index.php?term=mission Online Etymology Dictionary]. Etymonline.com. Retrieved on 2011-01-19.</ref>
 
Mara nyingi, kazi hiyo inakwenda sambamba na utoaji wa [[huduma]] za kijamii, hasa [[elimu]], [[afya]], [[utetezi wa haki]], [[maendeleo]] katika [[uchumi]] n.k.<ref>[http://dictionary.reference.com/browse/missionary Missionary | Define Missionary at Dictionary.com]. Dictionary.reference.com. Retrieved on 2011-01-19.</ref><ref name="Thomas Hale 2003">Thomas Hale 'On Being a Missionary' 2003, William Carey Library Pub, ISBN 0878082557</ref>
 
== Tanbihi ==