Kitswana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
2011,lugha
+vidéo Wikitongues
 
Mstari 1:
[[File:WIKITONGUES- Donald speaking Tswana.webm|thumb|Kitswana ([[Namibia]])]]
'''Kitswana''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Botswana]] na [[Afrika Kusini]] inayozungumzwa na [[Watswana]]. Ni [[lugha ya taifa]] nchini Botswana. Katika sensa ya mwaka wa [[2011]] idadi ya wasemaji wa Kitswana nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 4,070,000. Nchini Botswana, kuna wasemaji 1,070,000 (1993). Pia kuna wasemaji 29,400 nchini [[Zimbabwe]] (1969) na wasemaji 12,300 nchini [[Namibia]] (2006). Kufuatana na uainishaji wa [[lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kitswana iko katika kundi la S30.