Kitsonga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
2006,lugha
+vidéo Wikitongues
 
Mstari 1:
[[File:WIKITONGUES- Lourenço speaking Tsonga.webm|thumb|Kitsonga]]
'''Kitsonga''' (pia Kishangaan) ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Msumbiji]], [[Afrika Kusini]] na [[Zimbabwe]] inayozungumzwa na [[Watsonga]]. Mwaka wa [[2006]] idadi ya wasemaji wa Kitsonga katika nchi zote imehesabiwa kuwa watu 3,669,000. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kitsonga iko katika kundi la S50.