Ruvu (Pwani) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 32:
Ruvu ya Pwani ni chanzo kikuu cha maji kwa [[Jiji]] la [[Dar es Salaam]]. Hili ni tatizo kwa sababu kiasi cha maji yake huzidi kupungua kutokana na uharibifu wa [[misitu]] na [[mabadiliko ya tabianchi]].<ref>[http://www.gwclim.org/presentations/session5/kalugendo.pdf Impact of climate variability on groundwater resources in Dar es Salaam, Tanzania], by Praxeda Kalugendo, Groundwater & Climate in Africa conference in Kampala (Uganda), June 2008</ref>
 
Tangu mwaka [[1958]] kiasi cha maji ya Ruvu kinapimwa kwenye [[daraja]] la [[barabara kuu]] [[A7, Tanzania|A7]] takriban [[kilomita]] 40 kabla ya [[mdomo]] wake. Kwa [[wastani]] zimepita hapa [[m³]] 61 kwa [[sekunde]]. Kiwango hiki kinabadilika sana kulingana na [[majira]] ya mvua na ya [[ukame]].
 
''Kiwango cha maji ([[mita za ujazo]] kwa sekunde) kinachopita kwenye daraja la Ruvuma karibu na [[Mlandizi]] kwa mwezi''<br />(Ilikadiriwa kwa kutumia data za kipindi cha miaka 46 1958–2004)<ref>[http://easternarc.or.tz/downloads/East-Usambara/Final%20Report_Revised_10_03_2007.pdf HYDROLOGIC AND LAND USE/COVER CHANGE ANALYSIS FOR THE RUVU RIVER]</ref>