Ruvu (Pwani) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 10:
| kimo =
| tawimito =
| tawimito kulia = [[Mto Mgeta]]
| tawimito kushoto = [[Mto Ngerengere]]
| mkondo =
| eneo = km² 17,700
| watu =
| miji =
}}
'''Ruvu'''
Unapokea hasa [[maji]] ya upande wa [[mashariki]] wa [[milima]] ya [[milima ya Uluguru|Uluguru]] na kuyapeleka [[Bahari Hindi]].
Ruvu hii haina uhusiano na [[mto Jipe Ruvu]] ==Beseni la mto==
Line 30 ⟶ 32:
==Chanzo cha maji ya Dar es Salaam==
Ruvu ya Pwani ni chanzo kikuu cha maji kwa [[
Tangu mwaka [[1958]] kiasi cha maji ya Ruvu kinapimwa kwenye [[daraja]] la [[barabara kuu]] [[A7, Tanzania|A7]] takriban [[kilomita]] 40 kabla ya [[mdomo]] wake. Kwa [[wastani]] zimepita hapa [[m³]] 61 kwa [[sekunde]]. Kiwango hiki kinabadilika sana kulingana na [[majira]] ya mvua na ya [[ukame]].
Line 108 ⟶ 110:
== Marejeo ==
<references />
==Viungo vya nje==
* [http://www.geonames.org Geonames.org]
|