Tofauti kati ya marekesbisho "TANZAM"

227 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
[[File:T1 road sign Mikumi TZ.jpg|right|thumb|TANZAM]]
'''TANZAM''' ni ([[kifupi]] cha kutaja barabara kuu ya '''Tanzania-Zambia-Highway''') ni [[barabara kuu]] kati ya [[Dar-es-Salaam]] ([[Tanzania]]) na [[Lusaka]] ([[Zambia]]).
==Sababu za kujengwa kwa TANZAM==
[[Barabara]] hiihiyo ilipanushwailipanuliwa na kuimarishwa kama barabara ya [[lami]] kati ya miaka [[1968]] hadi [[1973]]. Kusudi lake lilikuwa la [[Siasa|kisiasa]] maana Zambia ilitafuta njia ya mawasiliano na bandari ya baharini bila kutegemea tena [[Afrika Kusinimawasiliano]]. Kihistoria usafiri wa nje na biashara ya Zambia isiyo na pwani zilitegemea njia zilizopita katika [[Msumbijibandari]] auya [[Afrika KusiniBahari|baharini]] nabila nchikutegemea zote mbili hazikuwa bado nchi huru. Msumbiji ilikuwa koloni yatena [[Ureno]] na Afrika Kusini ilitawaliwa na serikali ya [[Apartheid]].
 
Kihistoria usafiri wa nje na [[biashara]] ya Zambia isiyo na [[pwani]] vilitegemea njia zilizopita katika [[Msumbiji]] au [[Afrika Kusini]] na nchi zote mbili hazikuwa bado [[nchi huru]]. Msumbiji ilikuwa [[koloni]] la [[Ureno]] na Afrika Kusini ilitawaliwa na [[serikali]] ya [[Apartheid]].
Tanzania ilivutwa na mpango huu kwa sababu ilipinga ukoloni pia ilitarajia faida za biashara na [[Zambia]], [[Malawi]] na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Inchi ilkuwa pia na haja ya kuboresha barabara zake na TANZAM inaunganisha pia nyanda za juu za kusini za Tanzania na Dar es Salaam.
 
Tanzania ilivutwa na mpango huuhuo kwa sababu ilipinga [[ukoloni]], pia ilitarajia [[faida]] za biashara na [[Zambia]], [[Malawi]] na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. InchiNchi ilkuwailikuwa pia na haja ya kuboresha barabara zake na TANZAM inaunganisha pia [[Nyanda za Juu za Kusini Tanzania|nyanda za juu za kusini]] za Tanzania na Dar es Salaam.
== Tazam nadani ya Tanzania ==
TANZAM ina urefu wa [[kilomita]] 2,400 na zote zina lami. Katika Zambia huitwa ''Great North Road'' na ndani ya Tanzania ilikuwa na namba ''T1''. Siku hizi sehemu ya Dar es Salaam - Iringa huitwa [[A7, Tanzania|A7]], na sehemu ya Iringa - Mbeya - Tunduma huitwa [[A104 , Tanzania|A104]]
 
== TazamTANZAM nadanindani ya Tanzania ==
Inaanza mjini [[Dar es Salaam]] ikipita katika mikoa ya [[Pwani]], [[Morogoro]], [[Iringa]] na [[Mbeya]]. Kati ya Dar na Morogora njia inapita katika [[hifadhi ya Mikumi]].
TANZAM ina [[urefu]] wa [[kilomita]] 2,400 na zote zina lami. Katika Zambia huitwa ''Great North Road'' na ndani ya Tanzania ilikuwa na namba ''T1''. Siku hizi sehemu ya Dar es Salaam - [[Iringa]] huitwa [[A7, Tanzania|A7]], na sehemu ya Iringa - [[Mbeya]] - [[Tunduma]] huitwa [[A104 , Tanzania|A104]]
 
Inaanza mjini [[Dar es Salaam]] ikipita katika [[Mikoa ya Tanzania|mikoa]] ya [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], [[Mkoa wa Morogoro!Morogoro]], [[Mkoa wa Iringa|Iringa]] na [[mkoa wa Mbeya|Mbeya]]. Kati ya Dar na Morogora njia inapita katika [[hifadhi ya Mikumi]].
 
Ndani ya Tanzania ina njiapanda 4 muhimu:
*mjini [[Chalinze]] iko chanzo ya barabara kuu inayoelekea [[Tanga]] na [[Kilimanjaro]]-[[Nairobi]]
* mjini [[Morogoro]] iko njiapanda ya [[barabara]] kwenda [[Dodoma]] inayoendelea [[magharibi]] hadi [[Mwanza]] na [[Kigoma]]
*mjini [[Makambako]] kuna njiapanda ya barabara kwenda [[Songea]] inayoendelea katika hali bayambaya hadi [[Mtwara]]
* [[Uyole]]/[[Mbeya]] iko njiapanda ya barabara kwenda [[Malawi]] kupitia [[Tukuyu]].
 
Kuanzia [[Makambako]] Tanzam inaendelea mara nyingi kando la njia ya reli ya [[TAZARA]].
 
Kuanzia [[Makambako]] TanzamTANZAM inaendelea mara nyingi kando laya njia ya [[reli]] ya [[TAZARA]].
==Tanzam ndani ya Zambia==
Mjini [[Tunduma]] Tanzam inavuka mpaka na kuingia [[Zambia]]. Sasa ni "Great North Road" ikielekea kwenda [[Kapiri Mposhi]] kupitia [[Nakonde]] na hapa inapewa namba ''T2''. Kapiri Mposhi inajiunga na barabara kuu ya Zambia kutoka [[Lumbumbashi]] (Kongo) kwenda [[Lusaka]].
 
==TanzamTANZAM ndani ya Zambia==
Mjini [[Tunduma]] TanzamTANZAM inavuka mpaka na kuingia [[Zambia]]. Sasa ni "Great North Road" ikielekea kwenda [[Kapiri Mposhi]] kupitia [[Nakonde]] na hapahuko inapewa [[namba]] ''T2''. Kapiri Mposhi inajiunga na barabara kuu ya Zambia kutoka [[Lumbumbashi]] (Kongo) kwenda [[Lusaka]].
 
==Viungo vya Nje==