Omar Khayyam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|fa}} (2) using AWB (10903)
+picha
Mstari 1:
[[PichaFile:Omar_ChayyamOmar Khayyam2.jpgJPG|thumb|250px|Picha ya Omar Khayyam kaburini kwake]]
[['''Omar Chayyām]]''' ([[Kifarsi]]: '''عمر خیام'''‎ ’omar-e khayyām ; * mnamo 1048 mjini Nishapur, mkoa wa [[Khorasan]]; † kati ya 1122 - 1131) alikuwa mshairi nchini [[Uajemi]] aliyejulikana pia kama mtaalamu wa hisabati, falaki na falsafa.
 
Kama mwanahisabati aligundua usuluhisho wa milingano ya mchemraba pamoja na kipeo cha mchemraba. Mfalme alimwagiza 1073 kujenga jengo la kuangalia nyota. Akaendelea kutunga kalenda iliykuwa msingi wa [[kalenda ya jua]] ya Uajemi inayotumiwa hadi leo na kalenda hii imesifiwa kuwa kamili kushinda [[kalenda ya Gregori]].