Musoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
 
}}
'''Musoma''' ni [[mji]] wa [[Tanzania]] uliopo kwenye [[mwambao]] wa [[mashariki]] wa [[Ziwa Viktoria]]. Musoma imepata halmashauri na hadhi ya [[manisipaa]]. [[Manispaa]] hiyo inapakana na [[Wilaya ya Musoma Vijijini]].

Ni [[makao makuu]] ya [[Mkoa wa Mara]].

Katika [[sensa]] ya mwaka 2002, [[idadi]] ya wakazi wa mji huo ilihesabiwa kuwa 108,242 <ref>[http://web.archive.org/web/20031218001127/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/musomaurban.htm Matokeo ya sensa ya 2002 kwa mkoa wa Mara]</ref>.
[[Picha:Musoma_Seeufer.jpg|thumb|left|Tembo beach.]]
 
==Historia==
Line 46 ⟶ 50:
[[Jamii:Miji ya Tanzania]]
[[Jamii:Wilaya ya Musoma Mjini|*]]
[[Jamii:Musoma]]