Tofauti kati ya marekesbisho "Musoma (mji)"

5 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
No edit summary
 
==Historia==
Kabla ya [[ukoloni]] eneo la Musoma lilikuwa nchi ya [[WakabweWakabwa]], [[kundi]] la [[Wajaluo]] waliowahi kuhamia hapa.<ref>Siso - Shetler, uk. 75</ref>
 
[[Wajerumani]] wa kwanza walifika mnamo mwaka [[1910]]: walikuwa [[wamisionari]], kwa jina lamajina Dominik na Paulo, waliojenga makazi na [[shule]] karibu na makao ya [[Mtemi]] Nyabange<ref>Kutokana na maelezo katika [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]] Nyabange iliyoitwa "Njawangi" ([[jer.]] "j"=y) ilikuwapo takriban kilomita 10 upande wa mashariki wa Musoma kwenye mwambao wa hori ya ziwa, angalia makala "Muansa" na "Njawangi" katika kamusi hii</ref>.
 
Wakafuatwa na [[afisa]] wa kwanza Mjerumani aliyeitwa na wenyeji "Bwana Sirusi" mwenye kazi ya afisa [[forodha]]. Huyu Sirusi alihamia mahali pa Musoma ya leo kwa sababu huko [[kina]] cha [[maji]] ufukoni kilifaa zaidi kwa [[meli]] kufika<ref>Siso - Shetler, uk. 79</ref>. Hivyo Musoma ilianzishwa kama [[bandari]] na baadaye makao ya ofisa mdogo wa [[Mikoa_ya_Tanzania#Utawala_wa_Kijerumani|Mkoa wa kikoloni wa Mwanza]].