Tofauti kati ya marekesbisho "Ummy Ally Mwalimu"

nimeongeza neno ''wazee''
d (corr using AWB)
(nimeongeza neno ''wazee'')
'''Ummy Ally Mwalimu''' ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha kisiasa]] cha [[CCM]]. Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Viti maalum vya wanawake]] kwa miaka 2010 - 2015, akarudishwa bungeni mwaka [[2015]]. <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/177 Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>
 
Mwaka 2017 alikuwa waziri wa Afya, Mendeleo ya Jamii, Jinsia wazee na Watoto.<ref>[http://www.mcdgc.go.tz/index.php/mcdgc/aboutus/category/management_team/ About The Ministry], tovuti ya wizara, iliangaliwa Juni 2017</ref>
 
==Marejeo==