76,087
edits
'''Shemasi''' ni [[kiongozi]] wa [[Kanisa]] anayeunganisha wenye [[Daraja takatifu|daraja]] za juu na [[walei]].
Shemasi ni kiongozi wa [[Kanisa]] anayeunganisha wenye daraja za juu na walei. Ushemasi ni daraja ya tatu na ya mwisho katika [[Kanisa Katoliki]] na madhehebu mengine kadhaa. Unatolewa na [[Askofu]] kwa kumwekea mtu mikono na kumuombea ili atoe huduma ya Neno la Mungu, ya liturujia na ya upendo. Unaweza kutolewa kwa namna ya kudumu au kama hatua ya kuelekea daraja ya [[upadri]].▼
▲
Katika [[Kanisa la Moravian]] ushemasi ni ngazi ya kwanza ya [[Mchungaji|uchungaji]].
Katika [[historia ya Kanisa]] mashemasi waliotoa mchango mkubwa, mara nyingi kwa kukamilisha [[ushuhuda]] wao kwa [[kifodini|kumfia]] [[Yesu]].
[[Jamii:Ukristo]]▼
Kati yao maarufu zaidi ni [[Laurenti Mfiadini]] na [[Fransisko wa Asizi]].
[[Jamii:Viongozi wa Kikristo]]
[[Jamii:Kanisa]]
[[Jamii:Kanisa Katoliki]]
|